Gambia: Jamii na viongozi wa dini waungana kulinda wasichana dhidi ya ndoa za utotoni
Wanawake, viongozi wa dini na wanajamii nchini Gambia wameunganisha nguvu kupinga ndoa za utotoni, zinazowanyima wasichana fursa ya kukamilisha masomo yao na kuwaweka katika hatari kubwa ya mimba za utotoni na ukatili wa kijinsia.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Free plan · Plus CA$29 or Pro CA$99/month


