WHO, WMO, UNICEF na UNFPA wazindua mfumo mpya wa kufuatilia athari za joto kali kwa wajawazito na watoto
Mashirika manne ya Umoja wa Mataifa yamezindua mfumo mpya wa kimataifa wa kufuatilia athari za joto kali kwa afya ya wanawake wajawazito, watoto wachanga na watoto wengine, huku tafiti zikionesha kuwa kukabiliwa na joto kali kunaweza kuongeza uwezekano wa kujifungua kabla ya wakati kwa asilimia 26.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Free plan · Plus CA$29 or Pro CA$99/month


