El Niño na tahadhari za mapema dhidi ya ukame: Mfano wa nchi ya Cambodia
Saa moja asubuhi katika jimbo la Siem Reap nchini Cambodia, tayari joto limetanda mashambani. Hewa imetulia, ardhi imekauka na mpunga inaanza kufa. Hakuna harufu ya udongo uliolowana wala dalili ya mvua.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


