Takribani watu milioni mbili Gaza wahitaji makazi ya dharura huku msimu wa baridi ukikaribia – IOM
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limeonya kuwa takribani watu milioni mbili katika Ukanda wa Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel bado wanahitaji msaada wa dharura wa makazi, ikiwa ni mwaka mmoja tangu kutangazwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano, huku mvua za msimu wa baridi zikianz…
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


