Guterres: Posta si barua pekee, ni kiungo cha huduma muhimu duniani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amesema mfumo wa posta duniani una nafasi kubwa zaidi ya kusafirisha barua, ukitoa huduma muhimu zinazounganisha jamii na kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


