Mtoto mwenye umri wa miaka 15 ataka Akili Mnemba ijumuishwe kwenye mitaala ya shule
Murad Mohammed, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 kutoka nchini Kenya amewataka viongozi wa dunia kuhakikisha kuwa akili mnemba (AI) inafundishwa shuleni ili kuwapa watoto na vijana ujuzi wa teknolojia na kuwawezesha kuitumia kwa manufaa ya jamii.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


