Mnepo unaanzia nyumbani: Umoja wa Mataifa watoa wito wa ujenzi wa makazi salama dhidi ya majanga
Umoja wa Mataifa umehimiza serikali, sekta binafsi na jamii duniani kuweka kipaumbele katika kujenga mnepo dhidi ya majanga kuanzia ngazi ya kaya, ukisisitiza kwamba nyumba salama zinaweza kuokoa maisha na kupunguza hasara zinazotokana na majanga ya asili.
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Résiliable à tout moment · 99 $ CA/mois


