“Ufanisi una mipaka”: Mkuu wa UNHCR aonya ukata unadhoofisha ulinzi wa wakimbizi
Fedha zinakwisha kwa kasi kubwa kuliko ongezeko la mahitaji, huku wanaume, wanawake na watoto milioni 117 wakilazimika kuyahama makazi yao, limeonya leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) likisema limepokea dola bilioni 3 pekee kati ya dola bilioni 8.5 zinazohitajika kwa mwaka huu.
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Résiliable à tout moment · 99 $ CA/mois


