UNICEF na Gavi wapunguza bei ya chanjo ya malaria kwa asilimia 40, kuokoa dola milioni 50
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, kwa kushirikiana na Muungano wa Kimataifa wa Chanjo, Gavi, wamefanikiwa kupata makubaliano yatakayopunguza bei ya chanjo ya malaria aina ya RTS,S /AS01 kwa takribani asilimia 40, hatua inayotarajiwa kuokoa dola milioni 50 kati ya mwaka 2027 na 2029 na kuwezesha w…
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Forfait Gratuit · Plus 29 $ CA ou Pro 99 $ CA/mois


