DRC: Wahudumu wa kupambana na Ebola wakabiliwa na shinikizo huku mlipuko ukisambaa
Wakati mlipuko wa ugonjwa hatari wa Ebola ukifika katika jimbo la nane nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wataalamu wa uchunguzi leo wamesema wamekuwa wakifuatilia taarifa zote zinazoweza kusaidia kutathmini hatari ya ugonjwa huo kusambaa pia nchini Nigeria.
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Forfait Gratuit · Plus 29 $ CA ou Pro 99 $ CA/mois


