Asilimia 90 ya mashirika yasema kiwewe chaendelea kwa wanawake na wasichana waliokimbia El Fasher Sudan
Mwaka mmoja baada ya kuanguka kwa mji wa El Fasher, jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, wanawake na wasichana waliokimbia mapigano bado wanakabiliwa na kiwewe cha kisaikolojia, ukosefu wa usalama na upatikanaji mdogo wa huduma muhimu, umesema utafiti mpya uliotolewa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya …
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Forfait Gratuit · Plus 29 $ CA ou Pro 99 $ CA/mois


