Bajeti ya UN: Baada ya kupunguza nafasi 3,116 za kazi, Guterres apendekeza mageuzi zaidi
Shughuli zaidi ya 40 kuhamishwa, nyingi zikielekezwa Nairobi, Kenya. Nafasi 14 za uongozi kuondolewa au kushushwa hadhi. Hatma ya wafanyakazi baada ya nafasi 3,116 kupunguzwa yaelezwa. Bajeti ya 2027 kupungua kwa dola milioni 40.8.
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Résiliable à tout moment · 99 $ CA/mois


