Mtaalamu wa UN: Hatua za kukomesha ukatili dhidi ya watoto hazilingani na kasi ya hatari zinazoongezeka
Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Ukatili dhidi ya Watoto ametoa wito wa kuimarishwa kwa hatua za kimataifa za kuwalinda watoto wa kiume na wa kike wanaokabiliwa na ongezeko la migogoro na majanga mbalimbali, akisema juhudi za sasa hazitoshi kukabiliana na hali hiyo.
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Résiliable à tout moment · 99 $ CA/mois


