WHO: Daktari mmoja kati ya wanne anakaribia kustaafu, uhaba wa wahudumu wa afya duniani watia wasiwasi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu hatari ya kuongezeka kwa uhaba wa wahudumu wa afya duniani, likisema takribani daktari mmoja kati ya wanne ana umri wa zaidi ya miaka 55 na anatarajiwa kustaafu katika kipindi cha miaka kumi ijayo.
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Plan Gratis · Plus 29 CA$ o Pro 99 CA$/mes


