El Niño kali zaidi kuwahi kushuhudiwa yatishia kuleta mafuriko, ukame na joto kali duniani
Shirika la Umoja wa Mataifa la hali ya Hewa, (WMO) limeonya kuwa El Niño inayotarajiwa baadaye mwaka huu huenda ikawa miongoni mwa tukio lenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa katika kipindi cha zaidi ya miaka 40, hali inayotarajiwa kusababisha mabadiliko makubwa ya hali ya hewa katika maeneo mbalimbali duniani.
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Plan Gratis · Plus 29 CA$ o Pro 99 CA$/mes


