Muuguzi wa Ebola auawa jimboni Tshopo, UN yataka ulinzi zaidi kwa wahudumu wa afya
Mratibu Mwandamizi wa Umoja wa Mataifa dhidi ya Ebola, Julien Harneis ametoa kauli baada ya waandamanaji kumuua muuguzi mmoja huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) anayehusika na mwitikio dhidi ya ugonjwa huo wa virusi vya Bundibugyo.
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Plan Gratis · Plus 29 CA$ o Pro 99 CA$/mes


