Uganda yasogeza huduma za malaria karibu na wananchi ili kuokoa maisha
Nchini Uganda, familia zinazoishi maeneo ya vijijini sasa zinapata huduma za uchunguzi na matibabu ya malaria karibu na makazi yao, hatua inayolenga kupunguza vifo vinavyotokana na kuchelewa kupata matibabu ya ugonjwa huo ambao mwaka 2025 uliathiri takribani watu milioni 13.2 nchini humo.
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Plan Gratis · Plus 29 CA$ o Pro 99 CA$/mes


