Maandamano barani Ulaya: Mazungumzo ndiyo njia pekee ya kumaliza mvutano
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, ameeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya haki za binadamu kufuatia maandamano makubwa yanayoendelea katika nchi za Albania, Ubelgiji, Ufaransa, Italia na Ureno, akilaani vitendo vya vurugu na kutoa wito wa mazungumzo jumuishi ili kupunguza mvutano.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


