UN: Wanawake wakulima wa vijijini ni muhimu katika uhakika wa chakula na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Leo ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake wa Vijijini, inayoadhimishwa kila mwaka Oktoba 15, mwaka huu inaangazia mchango wa wanawake katika kulinda bioanuwai, kuhifadhi rasilimali za asili na kujenga jamii zinazohimili majanga.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


