Mariamu: Wanawake wakulima Tanzania bado wanakabiliwa na umaskini
Licha ya kufanya kazi kwa bidii katika sekta ya kilimo, wanawake wengi nchini Tanzania wanakabiliwa na umaskini kutokana na vikwazo mbalimbali, kikiwemo cha kukosa fursa ya kupata ardhi. Hayo ni maelezo ya Mariamu Rasidi Tungu, mkulima na mama wa watoto saba, ambaye aliungana na wanawake wengine watatu kupanua shughuli…
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


