Hatua za haraka zinahitajika kuhakikisha wanawake wanashiriki kikamilifu katika kujenga amani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kuhakikisha wanawake wanashiriki kikamilifu katika michakato ya amani, wakipatiwa ufadhili wa kutosha na kulindwa dhidi ya ukatili unaozidi kuongezeka katika maeneo yenye migogoro duniani.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Free plan · Plus CA$29 or Pro CA$99/month


