AI na wakimbizi: Vijana wa Kakuma na Dadaab wang’ara kwa ubunifu
Vijana wakimbizi kutoka kambi za Kakuma na Dadaab nchini Kenya wameonesha uwezo wao wa kutumia sayansi, teknolojia na Akili Mnemba (AI) kutatua changamoto zinazokabili jamii zao, ikiwemo upatikanaji wa huduma muhimu, elimu, maji na malisho ya mifugo. Kupitia msaada wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UN…
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


