Idadi ya waliokufa baada ya boti kuzama wafikia 139 huku 84 wakiwa hawajulikani walipo
Idadi ya wahamiaji waliokufa maji katika ajali ya boti imeongezeka na kufikia139 huku wengine 84 wakiwa hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka limeeleza shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM hii leo kufuatia kuopolewa kwa miili mingine 30 majini.
Short extract only — this publisher licenses its text. Read the full release at the source.
Cancel anytime · CA$99/month


