Watoto 12 waripotiwa kuuawa katika matukio mawili tofauti nchini Sudan
Watoto wasiopungua 12, baadhi yao wakiwa na umri wa miaka miwili, wameripotiwa kuuawa katika matukio mawili tofauti yaliyotokea katika majimbo ya Kordofan Magharibi na Khartoum nchini Sudan katika siku za hivi karibuni.
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Résiliable à tout moment · 99 $ CA/mois


