Ukraine: Vifo vya raia vyafikia kiwango cha juu zaidi, mashambulizi ya umeme yaongezeka
Idadi ya raia wanaouawa na kujeruhiwa katika vita nchini Ukraine imeendelea kuwa juu, huku Umoja wa Mataifa ukionya kuwa mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati yanaweza kuongeza mateso kwa mamilioni ya watu wakati msimu wa baridi unapokaribia.
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Résiliable à tout moment · 99 $ CA/mois


