WHO: Sumu ya madini ya risasi yachangia vifo milioni 3.5 kila mwaka, watoto wako hatarini zaidi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO limetoa wito kwa kila nchi duniani kuimarisha hatua za kuzuia watu kuathiriwa na sumu ya madini ya risasi, maarufu kama lead, ambayo inakadiriwa kuchangia vifo vya watu zaidi ya milioni 3.5 kila mwaka, huku mamia ya mamilioni ya watoto wakiwa katika hatari ya kuathirika.
Extrait seulement — cet éditeur protège son texte. Lisez le communiqué complet à la source.
Résiliable à tout moment · 99 $ CA/mois


