Mpango wazinduliwa kukabiliana na shinikizo la damu wakati wa ujauzito
Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali leo wamezindua mpango mpya wa kimataifa wa kukabiliana na matatizo ya shinikizo la juu la damu wakati wa ujauzito, hali ambayo huathiri mamilioni ya wanawake kila mwaka.
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Cancele cuando quiera · 99 CA$/mes


