Gaza: Watoto zaidi ya 340 wauawa licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano – UNICEF
Zaidi ya watoto 340 wameripotiwa kuuawa na mamia wengine kujeruhiwa katika Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel tangu kutangazwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF,…
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Cancele cuando quiera · 99 CA$/mes


