Alikimbia ndoa ya utotoni akiwa na mwanawe, sasa Nyala ana ndoto ya kuwa daktari
Akiwa na umri wa miaka 16 na mtoto mdogo mikononi, Nyala, si jina lake halisi, alilazimika kuondoka nyumbani kwao nchini Sudan Kusini baada ya kugundua kuwa baba yake alikuwa amepanga kumuoza kwa lazima.
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Plan Gratis · Plus 29 CA$ o Pro 99 CA$/mes


