Baraza Kuu la UN lapitisha tamko kuhusu janga la milipuko ya magonjwa, lakini si bila kipingamizi
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo Jumatatu limepitisha tamko la kisiasa kuhusu kuzuia, kujiandaa na kukabiliana na milipuko ya magonjwa, kwa kura 153 za kuunga mkono, tatu za kupinga kutoka kwa Argentina, Israel na Marekani, huku nchi mbili za New Zealand na Paraguay zikijizuia kupiga kura.
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Cancele cuando quiera · 99 CA$/mes


