WHO Kenya yakabidhi vifaa vya kuwezesha wahudumu wa afya kujikinga na Ebola
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO nchini Kenya limeanza kutelekeza ahadi yake ya kushirikiana na taifa hilo la Afrika Mashariki kuhakikisha wanadhibiti maambukizi ya ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa kuwa mtu mmoja aliyeingia nchini humo alifariki kwa Ebola na kuzikwa tarehe 6 mwezi huu wa Oktoba.
Solo un extracto — este editor licencia su texto. Lea el comunicado completo en la fuente.
Cancele cuando quiera · 99 CA$/mes


